Monday, June 7, 2010

T.I ame Release Ngoma Mpya


Mshindi wa tuzo za grammy Rapper T.I amewafurahisha mashabiki wake kwa kuachia wimbo wa pili utakao patikana ndani ya Album ijayo ambayo ameipa jina la King Uncaged

Wimbo huo unaitwa "Yeah Ya Know (Takers)"

ameiachia hivi karibuni katika mtandao wa Internet na umetengenezwa na DJ Toomp, "Yeah Ya Know (Takers)" ni maalum kwa ajili ya Movie inayoitwa Takers ambayo T.I ni muigizaji wake mkuu ama Starring, katika Movie hiyo ataonekana pia Chris Brown na Matt Dillon.

Wimbo huo mpya unaonekana ni wa kigumu zaidi kulinganisha na wimbo wake wa kwanza kuurelease siku chache baada ya kutoka jela mapema mwaka huu unaoitwa "I'm Back," ambao pia utapatikana ndani ya Album mpya ya T.I

Katika Track hii mpya kwenye outro T.I ameshout maneno yafuatayo

Jela haijani badilisha, sana sana imeniharibu zaidi, sawa Tupac?

T.I.P ameifananisha na Album yake mpya na Album ya Tupac iliyotoka mwaka 1996 “All eyez on Me” ambayo pia PAC aliichia mwenzi mmoja baada ya kutoka Jela.

Jamaa ameisifia album yake sana na amesema kwamba Game ya Hip hop haijawahi kushuhudia vitu vikali kutoka kwa Rapper aliye toka jela kama hiyo.

Album hiyo inatarajiwa kutoka 24/08/2010 mwaka huu na ndani yake wameshirikishwa rapa B.O.B, Jim Jonsin, Danja na The Runners

Watu kibao wame Comment kuhusu album hiyo kama ifuatavyo:

1. pac didn't co-operate with the feds and make crime stoppers commercials and possibly implicate known west side atlanta trap houses and dope dealers.
xxxxxx
2. pac went to jail for being a gangster that shot at fed dem and spat pon reporter, t.i went to jail for being scared for his life and being so overly scared and emotional, he didn't check out the contact for the fire arms.

Wakati huo huo imeripotiwa kwamba Movie ya T.I “Takers’ inatarajiwa koneshwa katika majumba mbalimbali ya sinema ya nchini marekani Kuanzia tarehe 17/08/201
xxxxxxx

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.