Ilikua Last thurzday kwenye Kipindi cha Ala za roho
kinachoruka weekdayz on Clouds Fm saa 4 mpaka sita ucku, cku hiyo Studio
kulikua na wadada wanne wa Bongo flava, Dayna Nyange, Rachel, Queen Darlin na
Beatrice, baada ya Perfomance mbili tatu, ukafika wakati wa kuaga ndipo MAPENZI
YA KWELI & DOLE GUMBA SINGER
Beatrice akatoa duku duku lake huku machozi yakimtoka ikimwagika, alisema “
ninaomba wadau wote wa muziki, mtu tazame
wasanii, nimetoa wimbo wangu mwaka jana na umefanya vizuri kwenye radio
na tv station, lakini kwa kipindi chote hiko nimepiga show mbili tu, kwanini
inakua hivi?
Kama wewe ni mdau ama promota na una uwezo wa kufanya kitu kwa Beatrice, mcheki facebook: "Nabisha Mathew"