Monday, April 23, 2012

HEMED PHD, AKANUSHA KUZUSHA TAARIFA ZA KIFO CHA SAJUKI

Hemed PHD
Actor/ Singer wa Bongo Flava, Hemed PHD amekanusha taarifa kuwa eti yeye ndiye aliyepost status on facebook za kumrest in Peace muigizaji mwenzake kwa Jina la Sajuki, Hemed amesema tangu jana amekua akipokea simu kutoka kwa watu wa Bongo Movie na majembe mengine yakimtuhumu kwa kuzusha taarifa katika Account yake ya FB, na walimwambia afute haraka, lakini yeye aliwajibu kuwa sio yeye, ila baadae akaja kugundua kuwa kuna mtu FB anajiita PHD Hemed na ndie aliyeandika taarifa hizo, na yeye kama msanii na muigizaji account yake inaitwa "HEMED PHD" 
Zaidi mskie Hemed hapo chini alipofunguka ndani ya 255 ya XXL ya Clouds fm

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.