Sunday, April 28, 2013

BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ NA MAMA YAKE MZAZI



Mbeya region
P.O.BOX 0759209081
MBEYA

                                            Dear diamond....
sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na
mambo unayofanya kiukweliii katika wasanii wakali
mpaka kupitiliza hapa tz wew ni mmoja wapo..
napenda sana vibonzo vyako hasa kile cha " nani
amenuna nani amenuna eti nani amenuna" najua
utakua umemalizia WEMA... katika kila shoo zako
unazofanyaga mara nyingi huwa unataja
kumheshim sana mama yako mzazi kutokana na
malezi aliyokupa toka kipindi kile unauza MITUMBA..
lakini saiz unafanya mama wa watu aonekane alizaa
toto zinzi ambalo kama limetumwa kuzini na
kuumiza wanaume wenzie.. ivi unajua mke anauma
kias gani hata kama wanajileta we ni mtu mzima
ambaye unatakiwa kupembua mambo.... hasa
kuhusu jambo la HILI MBURULA LENZIO UWOZO or
SORY I mean UWOYA.. unajua kabisa kaka yetu
NDIKU ambaye anafanya kazi ngumu ya kukabana
na wakina NSAJIGWA NFUSO uwanjani ili apate
chochte cha kulisha family yake lakini wew bila
huruma una ramba asali yake... ivi unajua mtoto
wa uwoya "krish" atakopukua njiani kwenda shule
wenzie watakua daily wakimuambia " mtoto wa
kambo wa DOMO huyo' ivi dear diamond mbna
unataka mama yako asipewe heshma sababu ya
wew hujui ka unamfanya awe despsd infrnt of da
pple...
najua hujaelewa coz elimu kwako ni tatizo
utampigia wema akufafanulie ila usi mrecord coz
anakusaidia ww.... au umea athirika unafanya
kusambaza.. hawa wanawake wapo toka enzi za ma
dinossaurs,,, mwambie penny akuambie maANA ya
dinossaurs.. huu mda unaoangaika na wanawake
ungejiendeleza ata kielimu iyo 4m four itakufksha
wap.. na wew mama diamond ivi huoni
anachofanya mwanao unashindwa kumshauli au
unataka uje kumwambia akishaanza kuharisha na
kumvisha visepe.. ERIC SHIGONGO naomba ukiiona
hii itupie kwenye ijumaa wikienda ili babu yangu wa
ileje Ambaye hatumiii fb asome mana kila siku
amekua akiipenda nyimbo ya mbagala bila kujua
uovu wa aliyeimba kwa leo yatosha ila TACAIDS
naamini itakutemblea diamond siku si nyingi kkupa
matumizi saHII YA arv
wako shabiki nambA MOJA DUNIA NZIMA....... via
mbele kuchungu

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.