|
nda nda nda ndaaaam......... NEY WA MITEGO AKIWA NA BASTOLA YAKE |
|
Hapa akiwa na ndinga lake aina ya mark x |
|
funguo ya ndinga mkononi nn, anaona utaaaaaaaaaaamu |
Taarifa ambazo muhariri wa #GazetiLaMakorokocho nimezipata ni kwamba Msanii wa muziki wa kipya Ney Wa Mitego sasa hivi anamiliki bastola na kama taarifa hizo ni za kweli basi atakua msanii wa pili wa bongo flava kumiliki silaha ya moto ya aina hiyo, kama ilivyo kwa #TundaMan ha ha ha patamu hapo!! licha ya kununua Bistola msanii huyo pia amevuta bonge moja la ndinga linalokadiriwa kufikia milioni 35 za kibongo Mark X, kwa hiyo sasa hivi ukimzingua tu ruksa kukutegua mguu.