Uswazi Take Away Singers,, CHEGE NA MALAIKA |
USWAZI TAKE AWAY HIT MAKER, MTU MZIMA CHEGE CHIGUNDA LEO AMESAFIRI
KUELEKEA EUROPE KWA AJILI YA KUPIGA SHOW TATU KATIKA NCHI TOFAUTI ZA BARA LA
ULAYA, SHOW YA KWANZA ITAKUA NORWAY, SWEDEN NA ITALY, PIA CHEGE ANA PLAN ZA KUSHOOT VIDEO HUKO HUKO, LAKINI PIA CHEGE AKATIRIRIKA KUWA AKIRUDI BONGO ATAMALIZIA
KU RECORD
SINGLE ITAKAYOFATA BAADA YA USWAZI TAKE AWAY, NA KTK TRACK HIYO AMEMSHIRIKISHA MSANII TAJIRI ANAYEPATIKANA KWENYE TOP TEN LIST YA MUSIC ARTIST MATAJIRI WA BARA LA AFRICA, NAMZUNGUMZIA CHAMELEONE WA UGANDA,
ZAIDI MSKIZE CHEGE HAPO CHINI KAMA ALIVYOFUNGUKA NDANI YA XXL YA CLOUDS FM: