RNB SINGER BEN POL, HIVI KARIBUNI AMEFUNGUKA KUA KWENYE
ENTERTAINMENT INDUSTRY KUNA FURSA KUBWA YA KIBIASHARA KATIKA FANI YA VIDEO
DIRECTORS, BEN POL ANASEMA DIRECTORS WALIOPO WENGI WAO NI MACHECK BOB WANAFANYA KAZI KIENYEJI,WAKISHAKULA PESA YA
MSANII WANACHELEWESHA KUWATOLEA KAZI ZAO, BEN AMESEMA HATA YEYE AMEWAHI KUPITIA
KWENYE MIKONO YA MA DIRECTOR MACHECK BOB NA WAMEWAHI KUMSUMBUA NA ANACHOFANYA
AKISHTUKIA ANAZINGULIWA HUWA HARUDI TENA KWA KAMPUNI HUSIKA, MSKIE BEN POL HAPO CHINI: