Kutoka kushoto ni Ngwair, Madee, Diamond na Darasa / ktk video shoot ya Pombe Yangu |
Taarifa ambazo zimefika kwenye meza ya muhariri wa gazeti la makorokocho inasemekana kwamba eti nyumba ambayo anaishi Rapper Madee inayomilikiwa na Meneja wake mtu mzima Babu Tale, inadaiwa kuwa imepigwa X na Wakala wa Barabara TanRoads kuashiria kuwa katika upanuzi wa barabara unaoendelea Morogoro Road maeneo ya kimara na mbezi basi mjengo huo nao utavunjwa, Je Madee anaizungumziaje hiyo? mskize hapo chini kama alivyokua akitiririka na muhariri,