Monday, May 27, 2013

YOU HEARD : WEMA SEPETU AMGOMBANIA MSANII MIRROR

Wema sepetu akiwa na Team Endless Fame
Mwanadada Wema Sepetu chini ya kampuni yake ya Endless Fame yuko katika vuta nikuvute ya kumgomabania msanii anayekuja juu siku za hivi karibuni "Mirror", Wema amevimbiana na Muro, huku wema akidai kuwa amesign mkataba na Mirror na bwana muro nae anadai kuwa anammiliki msanii huyo na wana mkataba wa kufanya album 3 na mapaka sasa hivi hawajatoa album hata moja
skiza mazungumzo yalivyokua ndani ya You heard ya  XXL


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.