|
Kutoka kushoto: Afande Sele akiwa na Rastaaa |
Hivi karibuni Club maarufu za simba na yanga zilikua zinapambana jijini dar es salaam, na Yanga ikaichapa Simba goli mbili bila, sasa Rapper Afande Sele ni shabiki na club wa simba na kwa kuwa timu yake ilifungwa basi jamaa alinyong'onyea na kugoma kula kwa siku mbili, lakini pia inasemekana aligoma hata kutoa kodi ya mezani / yani kuacha hela ya chakula nyumbani , na bahati mbaya nyingine wife wa afande sele maarufu kama mama Tunda yeye ni shabiki mkubwa wa Yanga, sasa hata alipompikia mume wake pilau na ndege aina ya kanga bado afande aligoma kula, zaidi skiza You Heard hapo chini