Sunday, July 21, 2013

KIMBUNGA ATUPWA SELO KWA MADAI YA KUBAKA, KULAWITI NA WIZI WA SIMU


Kimbunga
Rapper wa Long tyme katika Game ya Bongo Hip Hop anayefahamika kwa jina la Kimbunga habari za kuaminika kutoka chanzo cha kuaminika kimetuthibitishia kuwa msanii huyu yupo ndani ya nondo za Kituo cha Polisi Oysterbay kwa kile kinachodaiwa na mwanadada mmoja jina kapuni kuwa eti alibakwa na kulawitiwa kwa nguvu na Kimbunga, inasemakana kuwa kabla ya tukio hilo Kimbunga alifika katika Maarufu jijini Dar es salaam yeye na rafiki yake mwingine (mwanaume) wakaelewana na wanadada wawili wakalale kwa malipo, wakaenda hukooo sasa kufika kule dem wa yule mshkaji alimwachia pochi lake dem aliyekua na Kimbunga badae yule dem aliporudi akadai kuwa haioni simu yake na wakati huo huo dem aliyekua na Kimbunga akadai amebakwaa, (INASEMEKANA LAKINI) sasa pale ubaoni maelezo yalioandikwa na mwanadada huyo ni matatu kwamba Amebakwa, amelawitiwa kwa nguvu na wameibiwa simu, Kimbungwa ametupwa ndani tangu usiku wa kuamkia tarehe 21, bado gazeti la Makorokocho linaendelea kufatilia niko katika maongezi na mwanadada huyo so anytime pitia humuuuuuuuu.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.