KIMBUNGA |
TAARIFA AMBAZO TUMEZIPATA NI KWAMBA BADO MSANII KIMBUNGA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KTK KITUO CHA OYSTERBAY, NA KWA MUJIBU WA STATEMEN ILIYOANDIKWA NA MDAI MWANADADA FLANI HIVI NI KWAMBA ETI ALIBAKWA, NA KUIBIWA SIMU,
KWA MUJIBU WA TARATIBU ZA SASA HIVI ZA KIPOLISI, KIMBUNGA ANAWEZA AKAKAA KITUONI HAPO KWA ZAIDI YA WIKI TATU WAKATI FILE LAKE LIKISUBIRI MWANASHERIA WA KANDA YA MKOA ALIPITIE NA AKIRIDHISHWA KUWA USHAHIDI UNAJITOSHELEZA NDO ATATOA GO AHEAD KESI HIYO IENDE MAHAKAMANI, KAMA HATORIDHISHWA BASI POLISI ITABIDI WAENDELEE KUKUSANYA USHAHIDI, HUKU KIMBUNGA AKIENDELEA KUSOTA SELO, KUSUBIRI USHAHIDI UKAMILIKE NDO APELEKWE MAHAKAMANI,
NA HUKO MAHAKAMANI KAMA KESI ITAFIKA BASI, HAKUTOKUA NA MASHAHIDI WOWOTE ZAIDI YA HUYO DADA KWASABABU TUKIO LILITOKEA FARAGHA(CHUMBANI)NA USHAHIDI MWINGINE RIPOTI YA DAKTARI PF3, KAMA DAKTARI ATATHIBITISHA KUWA MWANADADA ALIBAKWA BASI KAKA YETU ATAKABILIWA NA KIFUNGO CHA ZAIDI YA MIAKA 30 JELA.
MAELEZO ALIYOANDIKA MWANADADA HUYO UBAONI, NI KWAMBA ETI ALIBAKWA NA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE, PIA AKAMHUSISHA MSANII HUYO NA WIZI WA SIMU.
ILA KWA WAKATI HUU ANAWEZA KUDHAMINIWA NA KUTOKA KATIKA SELO YA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY.
KWA MUJIBU WA CHANZO CHA KARIBU NA MSANII KIMBUNGA, KIMEDAI KUWA JAMAA ANA MKE NA WATOTO WAWILI.
NA INASEMEKANA KWAMBA KIMBUNGA AMEFUNGIWA STOO ZA OYSTERBAY POLISI TANGU USIKU WA KUAMKIA JUMAPILI ILIYOPITA, SO ANA SIKU NNE AMELALA NDANI.
KAMA AMESINGIZIWA UHALIFU HUU, TUNAOMBA MUNGU UMSAIDIE KIMBUNGA AWEZE KUSHINDA MTIHANI HUU, ILI NDUGU YETU AWEZE KURUDI URAIANI NA KUITUNZA FAMILIA YAKE KAMA ILIVYOKUA SIKU ZOTE.