Wednesday, February 12, 2014

DIAMOND PLATNUMZ AFYATUA NGUO ZENYE NEMBO YAKE

 
Alianza kama utani kwa kuanzisha Team yake ya "Wasafi" hiyo ni baada ya kuzinguana na kundi la Sharobaro lililokua linangozwa na aliyekua Producer wake Bob Junior, Kisa Diamond kujiita President wa Sharo Baro wakati President mpaka sasa ni yeye mwenyewe Bob Junior (Kauli ya Bob) , so baada ya vuta nikuvute Ikabidi Diamond atafute njia Nyingine kwa kuanzisha Wasafi Classic mwaka 2012 ambayo amefanya nayo vitu vingi hadi hivi karibuni ameamua kuanzisha Nguo zenye Nembo hizo ambazo bila shaka zitafanya iwapo zitaingia sokoni, kutokana na Imani ya Watanzania kwa Diamond kwani katika miaka ya karibuni kila anachokifanya kimekua kikipokelewa vizury na wananchi,
Diamond amepost picha kadhaa kwenye Mtandao wa Instagram huku akiwa amepoz na T Shirt za Wasafi.
Logo ya Wasafi
Diamond

Diamond

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.