Friday, September 23, 2016

PICHA 5:Mh.Lowassa alipowatembelea wahanga wa tetemeko la ardhi Mkoani Kagera.

Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA,Edward Lowassa leo aliwasili mkoani Kagera  na kuwafariji wahanga wa tetemeko la ardhi lilitokea Septemba 10 mwaka huu na kusambabisha vifo vya watu 19 huku zaidi ya 250 wakiachwa na majeraha mbalimbali.


Katika ziara hiyo Mh.Lowassa aliongozana na Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema,Shekh Katimba,Khamis Mgeja na Mbunge wa Bukoba Mjini,Wilfried Lwakatare.


Mh.Lowassa akiwa kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Meja Jererali mstaafu  Salim Kijuu.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.