Monday, February 10, 2014
Diva Ni Shabiki Mkubwa wa Diamond Platnumz
video Diva akiimba My Number One
Diva ni Mtangazaji wa cloudsfm anaesumbua sana na maisha yake binafsi kufanya watu wanaomfatilia sana kutaka kujua kuhusu yeye kila siku. Haishi vituko na hufikiri Tanzania ni marekani kiasi ambacho kutokana na jamii tunayoishi wengine hupinga na kusema mtangazaji huyo anavuka maadili.
kuna wanaojifanya wanamchukia lakini hawachoki mfatilia na kuna wanaompenda sana Pia. ni nusu kwa nusu.....waadui wengi na mashabiki wengi ila Diva ni shabiki mkubwa wa Diamond na muda wote hucheza nyimbo zake katika gari lake.
angalia video hii hapa akiimba my number one ya Diamond Platnumz
Comments System
facebook