Lupita Nyong'o |
Mwanadada Lupita Nyong'o mwenye uraia wa nchi mbili (Kenya na Mexico) ameshinda tuzo ya Oscar zilizo fanyika usiku kuamkia leo kama “best supporting actress” katika filamu ya 12 years of slave aliocheza mwaka jana.
Huyu ni
mwana afrika mashariki wa kwanza katika historia ya tuzo za Oscar kuchua tuzo.
THE EAST AFRICA TIMES
Lupita Nyong'o ndani ya 12 years of slave |