Wakati
tunaelekea
kwenye siku kubwa maalum kwa ajili ya wapendanao Valentine Day ambayo
itakua
jumamosi hii inayokuja, controversial Rapper Ney wa Mitego amemnunulia
ndinga
girlfriend wake mwanadada Siwema, ndinga aina ya Harrier lenye thamani
ya milioni 35 kutoka kwa mshkaji wake, lakini ndinga hiyo angeikuta Show
Room Zingemtoka zaidi ya milioni 40 Cash, Ney
amefunguka kuwa hiyo ni zawadi tu kwa lavidavi wake na si kwamba
amemhonga ili
ndo apeeeeendwee, kilichotokea ni kwamba, siku nyingi alimuahidi mpenzi
wake kuwa atampa zawadi ambayo hatoisahau maishani mwake, sasa ndo
ilipotokea mshkaji wake Ney wa Mitego anauza mkoko huo ndo Ney akaona
kwanini asimnunulie Dem? akafanya hivyo na kwenda kum'suprise mwanadada
Siwema, na bila shaka Siwema baada ya kukabidhiwa funguo ya Gari
alimrukia Ney huku akitoa kilio cha furaha na kum'miminia mabusu
motomoto, hahahhahaha..