Showing posts with label News. Show all posts
Showing posts with label News. Show all posts

Friday, November 11, 2016

Rais Magufuli Aongoza Mamia Kuuaga Mwili Wa Mzee Samuel Sitta

Mwili wa aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania, Samuel Sitta umeagwa katika viwanja vya Karimjee na mamia ya watanzania wakiongozwa na Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu.
Wengine ni Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Dk. Gharib Bilal.Baada ya kuagwa Dar, mwili wake utapelekewa Dodoma kwa ajili ya wabunge kutoa saamu za mwisho kisha kupelekwa Urambo, Tabora.


Tuesday, November 8, 2016

Taarifa Rasmi Ya Tanesco Kuhusu Mabadiliko Ya Bei Za Umeme



Kampuni ya kuzalisha na kusambaza umeme nchini imetoa taarifa rasmi kwa umma kuhusu taarifa zilizotoka awali zilizohusisha kubadilika kwa bei za umeme ifikapo januari mwaka 2017 kama inavyoweza kusomeka hapa chini:

tanesco

Monday, November 7, 2016

Wanandoto Ya Kalla Jeremiah Yaibua Maajabu Ya Kweli..


Mwanamuziki Kalla Jeremiah amesema video ya wimbo wake "Wanandoto" umewakutanisha mama na mtoto wake waliopoteana kwa zaidi ya mwaka mmoja.

adamkama unavyoweza kuona hapo kwenye picha ni mtoto Adam ambae alipotezana na mama yake na picha ya chini ni Adam alipokutana na mama yake mzazi baada ya kupoteana kwa muda mrefu.

"MAAJABU YA KWELI .
KAMA SIKU TATU ZILIZOPITA NILIPOKEA SIMU KUTOKA KWA MTANGAZAJI WA RADIO FLANI AKANIELEZA KUWA KUNA MAMA ALIMPIGIA SIMU AKAMWAMBIA KUWA AMEMUONA MTOTO WAKE ALIYEPOTEA TOKEA MWAKA JANA MWEZI WA 9 NA KAMUONA KWENYE VIDEO YANGU YA #WANANDOTO KIUKWELI NILISHTUKA NIKAOMBA MTANGAZAJI YULE ANIUNGANISHE NA MAMA HUYO. NIKAFANIKIWA KUONGEA NA MAMA HUYO NA KWELI AKANIAMBIA ALIPOTELEWA NA MTOTO WAKE AITWAE ADAM NA KWAMBA KAMUONA MWANAE KWENYE VIDEO YANGU. YULE MAMA AKASEMA AMEHANGAIKA SANA KUMTAFUTA MWANAE KWA UTARATIBU WA KAWAIDA HADI KWA WAGANGA MBALIMBALI WA KIENYEJI BILA MAFANIKIO AKASEMA PIA AMEENDA KWENYE MAOMBI MBALIMBALI LAKINI HAKUWEZA KUMPATA MTOTO WAKE NA AKAKATA TAMAA KABISA.HALI HIYO YA KUMPOTEZA MTOTO WAKE IMEMUATHIRI SANA KIASI CHA KUWA ANAZIMIA MARA KWA MARA. BAADA YA MAELEZO YALE NIKAMUUNGANISHA MAMA HUYO NA MLEZI WA KITUO CHA WATOTO CHA CHAKUWAMA NA JANA AMEFANIKIWA KUFIKA KITUONI HAPO NA KUMUONA MWANAE KWA KWELI HUU NI MUUJIZA.
ADAM NDO HUYO ALIYEZUNGUSHIWA KIDUARA CHEUSI NA PICHA YA CHINI NI ADAM AKIWA NA MAMA YAKE MZAZI JANA" ameandika Kalla Jeremiah kwenye ukurasa wake wa Instagram.


Tuesday, May 27, 2014

SABABU ZA BEYONCE NA JAY Z KUTOHUDHURIA HARUSI YA KANYE NA KIM KARDASHIAN


Kitendo cha Beyonce na Jay Z kutohudhuria harusi ya Kanye West  na Kim Kardashian kimechukuliwa kwa mitazamo tofauti katika magazeti na mitandao ya kijamii huku wengi wasijue ni hini hasa sabubu ya Beyonce na Jay Z wamefanya hivyo...Ukizingatia kuwa Kanye West alimuomba Jay Z awe BEST MAN wake....Kwakifupi kitendo hiki kimewashangaza na kuwaudhi mashabiki wa Kim na Kanye.



Ingawa Beyonce aliweke picha ya Kanye West, Kim na mtoto wao, North kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM na kuandika ujumbe huu;
 Wishing you a lifetime of unconditional love. God bless your beautiful family.”

Wadau wanaona hiyo haitoshi kabisa na hata Kanye na Kim hawawezi kuridhika kwa kitendo hicho.

Wagazeti makubwa ya UDAKU inchin Marekani yamedodosa na kubaini kuwa sababu ya Beyonce na Jay Z kutohudhuria Harusi hivyo ni uwepo wa mwana dada  Rachel Roy kwenye harusi hiyo..Huyu Rachel ndio ilikuwa sabau kubwa ya Jay Z kutofautina na dada yake Beyonce, Solange. Kwahiyo waliepuka Media Attetion siku ya harusi, na hiyondio sababu ya wawili hao kuona ni bora wa baki kumaliza mambo yao ya kifamilia.

Vile vile taarifa kutoka kwa wiliohudhuria harusi hiyo walisikika waki semazana kuwa ni kitendo kisichovumilika kwa Beyonce na Jay Z kutohudhuria..kuendelea zaidi ilisemekana kwasasa Beyonce na Jay Z hawana tena ukaribu na Kenye pamoja na Kim.

Hakuna neno lolote kutoka kwa Kanye na Kim hadi sasa kudhungumzia swala hili.... HATARI SANA

Credit: DOMOZEGE

Friday, May 9, 2014

Kutana na Ludvik Dolezal, mtu mchafu zaidi Ulaya


Ludvik Dolezal mwenye umri wamiaka 58 anayeishi katika mji wa Novy Bydzov, jamuhuri ya Czech inasemekana kuwa ndie mtu mchafu kuzidi wote katika bara la Ulaya.

Dolezal anaishi  katika kibanda chakavu nchini humo na mfumo wake wa maisha ndio unamfanya aweze kukabiliana na baridi kali la
nchini humo...Jamaa ana lala kwenye pipa lenye majivu ya moto na
kuvutasigara zisizopungua 20 kwa siku..

Kwamujibu wa vya habari nchini humo inasemekana kuwa  Dolezal anamatatizo ya kisaikolojia na hivyo humfanya atake kuchangia  maisha yake na moto na majivu.
.
Shughuri yake kubwa ni kuchoma matairi ya magari yaliyochakaa na hulipwa paundi 81 za Uingereza kwa mwezi ambazo ni sawa na shilingi  226,000 za Tanzania kama mafao kutoka serikalini.

Chanzo:BONGOLINE

Wednesday, May 7, 2014

BAADA YA KUTEMBELEA BAJAJ KWA MIEZI KIBAO HATIMAYE NEY WA MITEGO ANUNUA MARK X

 
Baada ya kutembelea usafiri wa Bajaj na Bodaboda kwa muda wa miezi kadhaa hatimaye hivi karibuni Msanii Ney wa Mitego amedondosha ndinga aina ya Mark X lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 25 za kitanzania. watu wengi waliowahi kumwona Ney ndani ya Bajaj walikua wanajiuliza inakuaje kuaje msanii kama huyu apande usafiri wa Bei rahisi wakati anatengeneza mamilioni kila weekend kwa show mbalimbali anazofanya, sasa jibu limepatikana kuwa huenda Ney aliamua kuuza ndinga alilokua anamiliki mwanza aina ya Alteza kisha akadunduliza na mtonyo mwingine na kuagizia Mark X.

Tuesday, May 6, 2014

FID Q KUWAFUNDISHA WASANII JINSI YA KUFANYA HIP HOP YA MAINSTREAM

Fid Q akikabidhiwa Tuzo na Adam Mchomvu
Mshindi wa Tuzo ya Msanii bora wa Hip Hop na Mwandishi bora wa mashairi ya hiphop (KTMA 2014) Rapper Fid Q baada ya kuchukua tuzo hizo amesema mpango wake ni kufundisha wasanii jinsi ya kufanya Hiphop inayoweza kufanya vizuri kwenye vituo vya radio kwa sababu kwa wakati Tanzania Hiphop haifanyi vizuri Radio, Fid amesema amesubiri tuzo hizo kwa miaka saba kwani mara ya mwisho kuchukua tuzo ni mwaka 2007 Ni Hayo tu kama wimbo bora wa hiphop na mwaka 2006 alipata Tuzo kupitia wimbo wake wa Mwanza Mwanza, na Mwaka 2011 alipata tuzo kupitia category ya Wimbo Bora wa Kushirikiana wa JCB na mwaka huu tuzo zimerudi nyumbani, FiD Q ameongeza kuwa ameshinda kwasababu anastahili na kama asingepata basi tuzo zisingekua za ukweli kwasababu watu kitaani wameridhika na matokea ya mwaka huu katika Kili Tanzania Music Awards, Fid Q anasema ushindi wake umewafurahisha watu wengi sana, viongozi serikalini wamekua wakimpigia simu kumpongeza, masela wa kitaa, masista duu na mabrazameni.

Tuesday, March 11, 2014

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Iringa


Katika hali isiyo ya kawaida kuzoeleka ni baada ya wakazi wa Ilala katika Manispaa ya Iringa leo kushuhudia maajabu ya dunia baada ya kushuhudia tukio la aina yake kwa mbwa kuwachukua watoto wa nguruwe na kuwalea kwa kuwanyonyesha maziwa yake.
Tukio hilo limetrokea machi 11 mwaka huu majira ya asubuhi baada ya nguruwe wa mmoja kati ya watumishi wa mungu (mchungaji ) Daniel Kisonga kushuhudia mbwa huyo ambae alikuwa amezaa watoto watatu na kufariki wawili na kubakia na mtoto mmoja na hivyo kulazimika kuingia katika banda la nguruwe na kubeba watoto wanne wa nguruwe na kuamua kuwalea na kuwapa huduma zote ikiwemo ya kuwanyonyesha kwa upendo watoto hao wa Nguruwe bila kuwadhuru.


Akizunguza na mwandishi wa habari hizi leo mchangaji Kisonga amesema kuwa ni vigumu kuamini kuna mbwa akinyonyesha watoto wa nguruwe wakati kwa kawaida mbwa amekuwa ni mnyama hatari kwa nguruwe hao hasa pale wanapozaliwa .


Amesema kuwa mbwawa wamekuwa wakiingia katika mazizi ya nguruwe na kuwala nguruwe hao baada ya kuzaliwa ili imekuwa tofauti kwa mbwa baada ya kuamua kulea watoto wa nguruwe .


Hata hivyo amesema yawezekana ni maajabu ya dunia ila pia yawezekana ni dalili za siku ya mwisho kama ambavyo zimepatwa kutabiliwa katika maandiko matakatifu kuwa siku za mwisho yatajitokeza mambo mengi ya ajabu ambayo binadamu ni vigumu kuamini mambo hayo.


Japo upande wa wadau mbali mbali wamehoji nguruwe hao iwapo wataendelea kunyonya maziwa na mbwa wataliwa na binadamu ama lah ! kutokana na nyama ya mbwa kwa kawaida kutoliwa na binadamu sasa iweje kwa nguruwe hao kunyonya maziwa ya mbwa.

Credit: Francis Godwin
 

Sunday, March 9, 2014

SIRI YA MTUNGI yakosa tuzo kwenye tuzo za Africa Magic Viewers’ Choice Awards



Thamthilia maarufu ya masula ya jamii na changamoto za maisha, SIRI YA MTUNGI imeshindwa kufanya vizuri katika tuzo AMVCA2014 - AfricaMagic Viewers’ Choice Awards zilizofanyika huko Nigeria licha ya kutajwa kuwania katika vipengele vingi kwenye tuzo hizo.

Katika kuwashukuru watu wote waliowasaidia kufika hapo walipofika licha ya kutopata tuzo hata moja, SIRI YA MTUNGI walitoa ujumbe huu kwa mashabiki.

‘’ Hatukufanikiwa kuchukua ushindi katika sehemu tulizokiwa nominated ila tumejifunza mengi zaidi. Asanteni sana kwa support yenu siku zote!#SiriYaMtungi #AMVCA2014’’
Washindi wa tuzo hizo ni:
Best Movie of 2013 – The Contract

Best Actor in a Drama – Tope Tedela (A Mile From Home)

Best Actress in a Drama – Nse Ikpe-Etim (Journey To Self)

Industry Merit Award – Peter Edochie

Best Movie Drama – Frank Rajah Arase for The Price

Best actor in a comedy award – Elvis Chucks

New era award – Rita Dominic (The Meeting)

Trailblazer Award – Michelle Bello

Best supporting actor in a Drama – Desmond Elliot (Finding Mercy)

Best supporting actress in a Drama – Bikiya Graham-Douglas (Flower Girl)

Best Director – Shirley Frimpong-Manso (The Contract)

Best Actor in a Comedy – Osita Iheme – The Hero

Best Online Video – Amarachukwu Onoh – Mother Tongue

Best Short Film – Walter ‘Waltbanger’ Taylaur – The Wages

Best Documentary – Dr Gilbert Chigbo – The Deadwood

Best Indigenous Language (Hausa): Abba Muko Yakassai

Best indigenous language Yoruba – Mercy Aigbe

Best indigenous language Swahili award – Njoki Muhoho – Mama Duka

Best Television Series (Comedy/Drama) – Fred Phiri – Love Games Episode 6

Best video editor – Shirley Frimpong-Manso – Contract

Best sound editor – Obi Emelonye and Luke Corradine – Last Flight to Abuja

Best Cinematographer – Christian Almesberger – Nairobi Half Life

Best Writer in a Comedy – Jigi Bello – Flower Girl

Best Lighting Designer – Mohamed Zain – Nairobi Half Life

Best Writer in a Drama – Shirley Frimpong-Manso & Hertey Owusu – Contract

Best Make-Up Artiste – Elayne Okaya – Nairobi Half Life

Best Costume Designer – Chiemela Nwagboso – The Kingdom

Best Art Director – Barbara Minishi – Nairobi Half Life


Saturday, March 8, 2014

Exclusive Photos: VICTORIA KIMANI AVUA NGUO ILI ACHORWE TATTOO KWENYE UPAJA WAKE.

Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na tattoo za Henna. 
Na muimbaji huyo mrembo wa Kenya aliyetua Dar es Salaam wiki hii kung’arisha uzinduzi wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, ameamua kuyaonjesha macho ya followers wake wa Instagram jinsi urembo huo ulivyomtoa chicha, mashalaah.. Safisha macho kwa uumbaji huu wa Mola..


 
Victoria akiwa na watangazaji wa Choice FM, Vanessa Mdee na Mandingo!!!!





Queen Vee akiwa na watangazaji wa Clouds FM, B-Dozen, Adam Mchomvu na DJ Fetty



Ki-Money ameendelea kufanya interview kwenye vituo mbalimbali vya radio nchini. Jana alihojiwa Clouds TV, kwenye XXL ya Clouds FM na Choice na leo alikuwa Times FM
Chanzo: Shebbyclassic Blog

Tuesday, March 4, 2014

PICHA: RIDHIWANI KIKWETE KUGOMBEA UBUNGE CHALINZE

Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura leo.
Ndugu Ridhiwani Kikwete amepata tiketi ya CCM katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge utakaofanyika Hivi karibuni Chalinze
Matokeo:
Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,
Ilikuwa hivi:_
1.Ridhiwani Kikwete kura 758
2.Shaban Iman Madega kura 335
3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206
4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12
Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316
Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:-
1.Ndg.Ridhiwani Kikwete,
2.Shaban Iman Madega,
3.Athuman Ramadhan Maneno
4.Changwa Mohamed mkwazu
Tarehe 9/3/2014 KUCHUKUA FOMU
Tarehe 11/3/2014 KURUDISHA
Tarehe 15/3/2014UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM
akipanga mstari (katikati) katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga.

CHANZO JAMIIFORUMS

Monday, March 3, 2014

PICHA: MAMBA AKIMEZWA NA CHATU LIVE


Chatu ameshinda vita vikali dhidi ya Mamba Kaskazini mwa mji wa QueensLand, kupigana na Mamba, kumpinda na kisha kumla.

Tukio hilo lilishuhudiwa katika ziwa Moondarra, karibu na mlima Isa na kunaswa kwa kamera na wakazi wa eneo hilo siku ya Jumapili.

Nyoka huyo mwenye urefu wa futi 10, alijipinda kwa Mamba na kuanza kupambana naye majini.
Hatimaye, Nyoka huyo alifanikiwa kumshinda Mamba na kumtoa nje ya maji na kisha kumla.

Nyoka alimvuta Mamba na kumtoa ndani ya Maji

Chatu huyo alianza kumla Mamba na kushangaza wakazi

Baada ya mlo huo mkubwa Nyoka alijiendea zake
                                                                           BBC

Lupita Nyong'o anyakua tuzo ya Oscar

Lupita Nyong'o



Mwanadada Lupita Nyong'o mwenye  uraia wa nchi mbili (Kenya na Mexico) ameshinda tuzo ya Oscar zilizo fanyika usiku kuamkia leo  kama “best supporting actress”  katika filamu ya 12 years of slave aliocheza mwaka jana.

Huyu ni mwana afrika mashariki wa kwanza katika historia ya tuzo za Oscar kuchua tuzo.

Lupita Nyong'o ndani ya 12 years of slave
THE EAST AFRICA TIMES

Thursday, February 27, 2014

Tahadhari kwa wenye vyoo vya kukaa: Kila mara cheki choo chako kabla ya kutumia

Hii ni kweli imetokea, Thanks God Jamaa alitazama kabla ya kutumia ... Nakuona  Big Snake lime pozi....Daaah Hatari sana.

Hivyo watu wenye vyoo vya kukaa wanashauliwa kutazama kila wanapotaka kutumia....hasa kama nyumba yako ipo karibu na vichaka...


Kenya: Wanamuziki 20 wenye kipato kikubwa zaidi 2014

Music Copyright Society of Kenya (MSCK) imetoa majina ya wanamuziki wenye kukusanya mkwanja mkubwa zaidi kupita vyanzo mbalimbali kama showz, ringtones, loyalties kutoka kwenye makampuni, nk

MSCK imesema itatoa taarifa zenye uchambuzi zaidi ikiwemo "figures"  ifikapo juni mwaka huu...

Wafuatao ndio wanamuziki  wenye mapato makubwa zaidi nchini Kenya kwa mujibu wa MSCK (Tukianzia 20-1)

20. Kalenjin Junior Kotestes Band


19. Dennis Waweru Kaggia (DNA)

 18. Hubert Mbuku Nakitare (Nonini)

17. Collins Mike Majale (Collo)


16. David Kamoni Mathenge (Nameless)


15. Gloria Owendi Muliro
14. Jean Pierre Nimbona (Kidum)


 13. Angela Chibalonza Muliro

 12. P Unit
11. Linet Masivo Munyali (Size 8)


 10. Daddy Owen
9. Victor Mbuvi

8.Octopizzo

7.Dennis Mutara

6.Sauti Sol

5.Wahu

4. Pastor Joel Kimetto

3.Les Wanyika

2.Ulopa


1.Camp Mulla

Chanzo: Ghafla

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.