Full Width CSS
Related Posts Display
Post Navigation Display
Gazeti la Makorokocho
CONTACT US +255 715 25 23 71
UG Gif Ge 728X90
Home
Main Menu
UBUYU
U HEARD
MUZIKI
MICHEZO
HABARI
BURUDANI
Saturday, April 12, 2014
PICHA: JUX AKIFANYA VIDEO YA NITASUBIRI CHINA
Ile Ngoma ya JUX ambayo amemwimbia girlfriend wake ambaye yuko chini ya ulinzi wa polisi tangu mwanzoni mwa mwaka huu kwa tuhuma za kukutwa na Madawa ya Kulevya (Jacky cliff) Ngoma hiyo Jux ndo ameifanyia Video nchini China ambako pia mwanadada huyo anashikiliwa, Kumbuka kwamba mwaka huu kwenye Tuzo za Kili Wimbo wa Jux wa "Uzuri wako" Licha ya kufanya vizuri kwenye chart za radio na kwenye Tv Station Kubwa Africa ulipigwa chini kutokana na kukosekana kwa maadili kwenye Video yake, sasa bila shaka Jux atahakikisha Video hii mpya inakidhi viwango vya kibongo bongo na vya kimataifa.
Newer Post
Older Post
Home
Comments System
facebook
Disqus Shortname
LINNAH AKIJIBU TUHUMA ZA KUIBA MUME WA MTU
ALAWI JUNIOR NA BARAKA DA PRINCE WAONGELEANA SHOMBO KUHUSU NYUMBA YA MAMA NAJ
DIAMOND KAAMUA KUKATA KEKI UCHI
DOGO JANJA NUSURA ACHEZEE KICHAPO
MAMA WEMA KWENYE BEEF NA MANFONGO
KALI ZA LEO
Jamaa hajafika kazini kwa miaka 24 na bado alikuwa mfanyakazi!
Huenda huku kwetu sheria zinabana zaidi kuhusu utaratibu wa kazi na ajira, sikuwahi kusikia story ya mtu kukaa miaka 25 bila kuhudhuria k...
WASANII WA HIP HOP KUSHIRIKI KWENYE TAMASHA LA PASAKA APRIL 20
WAIMBAJI wa muziki wa Injili kwa mtindo wa kufoka foka ‘Gospel Hip hop’ wameendelea kumuomba Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Ta...
'Ajioa' baada ya kukosa mchumba
Yasmin Eleby hakupata mchumba wa kumuoa mtu ambaye alitaka awe mume wake atakapofikisha miaka 40--kwa hivyo akafanya kitendo ambacho ...
MEZ B AELEZEA KINAGA NAGA CHA KUPIGA PICHA ZA UTUPU
Mez B na mdada yuko uchi Msanii wa siku nyingi wa Bongo Flava ambaye pia ni Mtoto Wa Mchungaji #MezB hivi karibuni Picha zake Utupu zil...
PICHA (+18):Hili ndilo povu la Mwanamuziki huyu baada ya kuvuja tena kwa picha zake za utupu.
Baada ya mitandao ya kijamii nchini Uganda kusambaza picha za utupu za mwanamuziki Disire Luzinda ,Hatimae Mwanamuziki huyo amevunja ukimy...
Powered by
Blogger
.