Haya ni Mashairi ya Ngoma Mpya ya JCB amewashirikisha Fid Q na Kalapina
Nashinda kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda/
na sina muda wa kuspend hata kwa cash za kuzuga/
Nashinda kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda/
na sina muda wa kuspend hata kwa cash za kuzuga/
( JCB )
Udhaifu
wa kilevi bwana mdogo huviwezi| Usione Mafogo wengi walikuwa wezi| si
kidogo usifate Utelezi| Wanacheza michezo mingi huiwezi| Michezo mingi
ya shilingi huiwezi| Ndo maana kwenzi| Nakuchapa una benzi| Una mapenzi|
Kitaa bonge la ndezi yaani mwepesi| Kusimama huwezi kesi| Huwezi
kudance kudunda kitenesi| Huendi resi ukiona pilau unasex|Umebaki fala
unacopy na kupaste| Yaani mweupe huna vyeo vya jeshi| Bonge la kiwingu
mpaka mvua hainyeshi| Pua haikeshi kunusa chako kinyesi| Kugusa kiwango
mbona chepesi| Ngoja nifunge verse isije kuwa kesi.....!
#JCBNashinda kila sekunde| kama nimeInvest kwenye muda|Na sina muda wa
kuspend ata kwa cash za kuzuga
Nashinda kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda/
na sina muda wa kuspend hata kwa cash za kuzuga/
Nashinda kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda/
na sina muda wa kuspend hata kwa cash za kuzuga/
CASH ZA KUZUGA.. CASH CASH ZA KUZUGA.. CASH ZA KUZUGA.. CASH
( Kalapina )
Mbuzi
karamba reli shetani kakata kamba||Wananiita Pina Mc namba moja
namba||so ishirini na sita, ishirini na sita ni Hamidu||Napomwagaga beti
Mc hupinduka bidu||Vina vyangu mateso muulize hata Lidu||Kaa kijanja
usikae kikox||Kaza sauti ifanane hata na Mox||Bado nita kukanyaga kama
navaa socks||Yaani kama upepo niite mchizi wa docks||Dar es salaam
nyumbani siwezi kuhama||Karama za hizi zama mwishoe uishie
mahakama||Niite baba wa Idea nyuma sijali lawama....
Nashinda kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda/
na sina muda wa kuspend hata kwa cash za kuzuga/
Nashinda
kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda/na sina muda wa kuspend hata
kwa cash za kuzuga/ CASH ZA KUZUGA.. CASH CASH ZA KUZUGA.. CASH ZA
KUZUGA.. CASH
( Fid Q )
Hi Dayna, sikufichi ulikua unahusika/
au mtoto wa uswazi ' akijichubua ' haimaanishi anaukimbia uafrika?/
nisikize Dayna..please.. najua uko busy kiaina na hizi ni aina tu za uchizi au kama vipi bye DAYNA/
HUUH.. now back to you fools/
nani atabaki juu? nitabaki tu.. huu ni wakati wa Q/
muda wa 1,2,3,2,1 kama ZOLA/ nikiwa na 1,2,3,4 quarters nipe dola/
ulipo sipo na hauna mshiko? kujikomba usijali/
hakika kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa kusonga ugali/
ongea na watu upate viatu, machacha yasisumbue/
mwambie HITLER avunje NAZI.. BLACK CHATA afaidi tui/
' na shinda kila sekunde ' kama nimeinvest kwenye muda/
na sina muda wakupoteza hata kwa cash za kuzuga...