WEKEZA PESA UPATE PESA NDIO FALSAFA ANAYOIAMINI DIAMOND, TAYARI AMESHAZOA TUZO SABA KWENYE KILITANZANIA MUSIC AWARDS, AMETAJWA KWENYE TUZO ZA MAMAS AWARDS, NA JANA JIONI AKATAJWA KATIKA CATEGORIES ZA BET TUZO ZINAZOTELEWA NA KITUO CHA TV CHA NCHINI MAREKANI KWA AJILI YA WAMAREKANI WENYE ASILI YA AFRICA, SO NUMBER SINGER DIAMOND PLATNUMZ AMETAJWA KTK CATEGORY YA BEST INTERNATIONAL ACT (AFRICA) ANASHINDANA NA "SKELEWU" YA DAVIDO NIGERIA, “KHONA, MAFIKIZOLO SOUTH AFRICA, EMINADO,” YA TIWA SAVAGE (NIGERIA) , SARKODIE (GHANA), TOOFAN (TOGO)
JE DIAMOND AMEZIPOKEAJE TAARIFA HIZI
KWA WAKATI HUU YUKO LONDON UK AKISHOOT VIDEO YA NGOMA MPYA INASEMEKANA AMEMSHIRIKISHA MSANII KUTOKA NIGERIA IYANYA NA DIRECTOR NI MO MUSA (BADO HATAKI KUIWEKA WAZI) ILA AMESEMA JANA JIONI WAKATI AKIWA KATIKATI YA VIDEO MENEJA WAKE ALIMPA TAARIFA HIYO ALISHTUKA NA KUMFANYA AONGEZE MANJONJO YA KU DANCE ZAIDI KWENYE VIDEO, DIAMOND AKAONGEZA KUWA HAJUTII KUWEKEZA ZAIDI YA MILIONI 150 KWENYE VIDEO ZA NUMBER ONE ORIGINAL NA REMIX ZOTE ALIZOFANYA NJE YA TANZANIA, KWANI LEO ANAONA MATUNDA YAKE, KWENYE NUMBER ONE ORIGINAL ALIWEKEZA ZAIDI YA MILIONI 90 NA KWENYE NUMBER REMIX FT DAVIDO ALIWEKA ZAIDI YA MILIONI 65, GHARAMA HIZO NI KILA KITU KUANZIA TICKET ZA NDEGE, MALIPO YA VIDEOS, HOTEL MPAKA PROMOTION
KUMBUKA KWAMBA KTK TUZO HIZI HAMNA KUPIGA KURA, KASORO KTK CATEGORY MOJA TU YA COCA COLA VIEWERS CHOICE AWARD
LAKINI HISTORIA YA KIPENGELE CHA BEST INTERNATIONAL ACT ILIANZA MWAKA 2010 NA ILIKUA INAJUMUISHA WASANII WA AFRICA NA UK, MWAKA HUO TUZO IKAENDA U.K
MWAKA 2011 CATEGORY IKAGAWANYWA MARA MBILI KWA AFRICA NA UK, SO MWAKA HUO TUZO HIYO KWA AFRICA IKAENDA KWA 2FACE IDIBIA (NIGERIA) NA D'BANJ (NIGERIA)
NA MWAKA JANA 2013 TUZO IKAENDA KWA ICE PRINCE
(NIGERIA)
KWA HESABU HIYO, TUZO IMETOKA MARA
MOJA TU NJE YA NIGERIA, NA ILIENDA GHANA, ILIWEKA MAKAZI YA KUDUMU WEST AFRICA,
ILA MWAKA HUU EAST AFRICA TUNAIVUTA TANZANIA KWA MARA YA KWANZA.