Thursday, May 15, 2014

YOU HEARD: T.I.D NA RECHO KATIKA MAHABA MAZITO

Taarifa zinazotolewa na Ma snitch wa kitaani zinadai kuwa Wasanii T.i.D na Mwanadada Recho wako katika dimbwi zito la mahaba kwa zaidi ya miezi mitatu sasa wamekua wakionekana wakiwa pamoja hadi kwenye show za T.i.D  mikoani ingawa wao wenyewe hawataki mahusiano yao yawe wazi kwa jamii, hata nilipojaribu kuwacheki kupitia simu zao za mkononi wote walikanusha na T.I.D akadai kuwa eti amewahi kukutana na Recho mara mbili tu.
Taarifa nyingine zinasema Recho sasa hivi hataki hata kupiga deal zake muziki zaidi ya kuwa pembeni ya mzee mnyama, so mara zote anashinda kinondoni kwa kina mzee kigogo.


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.