Monday, May 5, 2014

VIDEO: CHAMELEONE APIGA COLLABO NA MIRROR


Mirror na Chameleone
Mwaka huu Tegemea kuskia Collabo mpya kati ya Msanii wa Endless Fame Mirror na Msanii tajiri namba moja Afrika Mashariki Dr Jose ChameleonE, Meneja wa Mirror anaitwa Petit Man Wakuache amepost Picha na Clip ya Video ya wasanii hao wakiwa studio pale A.M Records Kwa Producer Maneke, Kazi hiyo imefanyika jana na inatarajiwa kutoka wakati wowote mwaka huu, Collabo hii inatarajiwa kumfikisha mbali Mirror, Stay Tuned!!!
Cheki na Video hiyo hapo chini

,

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.