Thursday, May 15, 2014

YOU HEARD: NDOA YA KALAPINA IMEVUNJIKA.................??????

Ile ndoa ya Mc mkongwe wa HipHop Tanzania Kalapina na shemeji yetu imedaiwa kuwa imevunjika karibu miezi 11 iliyopita, na Shemeji yetu amekua akionekana kwao mitaa ya Mbezi Salasala akiwa na mtoto wao wa kike anayeitwa Hindu umri miaka 2, kwa mujibu wa chanzo cha habari inadaiwa kuwa eti chanzo cha ndoa hiyo iliyokua na umri usiozidi miaka miwili eti ni ishu za wivu kutokana na Mwanadada huyo kuwa mgumu sanaaaaaa na kuzoeana zaidi na watu wa jinsia ya kiume tofauti na ilivyozoeleka kwa wengi kuwa labda angekuwa karibu na kinadada wenzake.......nilijaribu kumtafuta Kalapina kumuuliza juu ya taarifa hizi lakini kwa bahati hakuonyesaha sana ushirikiano kwani wakati mazungumzo yakiendelea alikata simu ghafla.
so bado naendelea kufatilia uhakika wa taarifa hizi.
Skiza You Heard ilivyokua:

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.