Monday, June 9, 2014
H BABA APONA HOMA YA DENGUE
Msanii wa Bongo Flava H Baba hatimaye amepona ugonjwa wa homa ya dengu uliomsumbua kwa karibu siku tano mfululizo, H Baba alianza kipindi anajiandaa kwenda kwenye cha msiba wa George Tyson ndipo akaanza kusikia kichwa kinamuuma na homa kali ikamshambulia, kwa kua alikua karibu na wife wake Actress Flora Mvungi akamsaidia kumsindikiza hospitali na baada ya vipimo ndio ikagundulika msanii huyo anasumbuliwa na homa ya Dengue, fLORA mVungi amepost picha kwenye account yake ya Instagram na kuandika kama ifuatavyo
"Asante mungu baba tanzanite anaendelea vizuri kama mnavyomuona ingawaje nguvu bado hazijamrudia sawa sawa but inatia matumaini .asanteni wote kwa dua zenu.inshaallah atakuwa sawa"
Comments System
facebook