Tuesday, June 10, 2014

YOU HEARD: NUH MZIWANDA ACHORA TATTOO YENYE JINA LA SHILOLE

Mahusiano ya Ki lavi davi kati ya wasanii wawili wa Bongo flava na Nuh Mziwanda yanazidi kukolea baada ya wawili hao kujitangaza rasmi kuwa ni wapenzi na kuishi pamoja sasa hivi Nuh Mziwanda ameamua kuchora tattoo yenye jina la Shilole kwenye mkono wake wa kushote ameandika "Shishi Baby" Nuh anasema amechukua uamuzi huo mgumu baada ya kuona moyo wake umetepeta kabisa kwa Shishi thats ameamua kuwa real ikija kutokea wameachana basi kwake hatoifuta kwani hajawahi kupenda na kupendwa kama hivi sasa, Tattoo hii ameichora jana na wiki mbili zijazo anampango wa kwenda kuchora nyingine yenye taswira ya mama yake mzazi, akizungumzia ishu hii Shilole amesema amefurahi sana na hajawahi kushuhudia upendo wa aina tangu aingie kwenye ulimwengu wa Malavi davi.
 

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.