Thursday, July 24, 2014

HATIMAYE ROMA AENDA KURECORD SHAROBARO RECORDS



KATIKA HALI AMBAYO HAIKUTEGEMEWA NA WENGI ROMA AMETIMIZA AHADI YAKE KWA KWENDA KURECORD KWA BOB JUNIOR SHAROBARO RECORDS, HAIKUTEGEMEWA NA WENGI COZ
WIKI MBILI ZILIZOPITA ROMA SIKU AMBAYO BRAZIL WALIKUA WANACHEZA NA ARGENTINA KWENYE WORLDCUP
ROMA ALIPOST PICHA YENYE MANENO “ KAMA BRAZIL TUKIFUNGWA LEO NAHAMA TONGWE RECORDS NAENDA SHARABARO RECORDS KWA BOB JUNIOR, USIKU WAKE BRAZIL WAKACHAPWA NA ARGENTINA GOLI SABA MOJA
SIKU YA PILI YAKE NAHISI ROMA ALIKUA DISAPOINTED ALIPOVUTIWA WIRE HAKUTAKA KUIZUNGUMZIA
LAKINI JANA AKAPOST PICHA YUKO NA BOB JUNIOR, NA KUANDIKA
Real NINJA always lay...on his words!! Xo am xtand on ma' words!!!! Last nyt baada ya ftari tu...nikapiga ndefu hadi TONGWE nikagonga ngoma moja na#josmtambo# Kisha nikamchukua producer wangu wa TONGWE REC...tukaenda wote kwa BOB JUNIOR!! SHAROBARO REC!! Wakakaa kiti kimoja.... Bob junior(sharobaro rec)+ geof master(tongwe rec)!!!===== Wakagonga BEAT!!! Guess what.......!!! We makin history!!

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.