Friday, July 4, 2014

VIDEO: MICHARAZO NA B.O.B "SHUT UP KIMYA"


Leo makundi mawili ya muziki wa Bongo Flava B.O.B inayoongozwa na Rapper Nyandu Tozi kwa kushirikiana na Kundi Micharazo linalo ongozwa na Rapper Mr Blue kwa pamoja ameachia Audio na Video ya wimbo wao mpya unaoitwa Shut Up Kimya, Audio ya Ngoma hii iliachiwa exclusive kwenye kipindi cha radio cha Clouds fm.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.