Wednesday, August 13, 2014

VIDEO : MBWEMBWE ZA MWANAMITINDO ZASABABISHA AKOJOLEWE NA NYOKA (TANZANIA)

                
      
Mwanamitindo wa Tanzania Hamisa Mobeto leo ameshare video inayomwonyesha yeye wakati akiwa kwenye moja ya Photo Shoots maarufu alizowahi kufanya anaonekana akiwa amezungukwa na nyoka mwenye urefu wa zaidi ya futi tano akiwa amemzunguka mguuni kwenye mapaja kwenda juu kisha nyoka huyo anamkojolea Live bila chenga.


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.