Thursday, October 16, 2014

MFANYABIASHARA AITUMIA EBOLA KAMA FURSA YA KUJIINGIZIA MTONYO


 
Mfanyabiashara mmoja wa newyork marekani ni mtu wa kwanza kutumia ugonjwa wa ebola kama fursa.

Todd spinelli ameanzisha dietary supplement ama virutubisho katika mtindo wa wafer (biskuti flani lakini lainiii), na anasema virutubisho hivyo vinakinga cell za afya zisiharibike na kuzifanya siishi mwilini muda mrefu kuliko kawaida, pia wafer hizo pia zina boost kinga ya mwili katika kupigana na magonjwa mbalimbali vikiwemo virusi vya ugonjwa ebola.

Todd spinelli anasema tayari ameshasajili bidhaa hiyo inayoitwa ebolla c na iliingia sokoni rasmi october moja japo haijapitishwa na mamlaka ya dawa, kwa siku mauzo ya ebolla c ni pakti elfu 14 kwa siku na bei yake ni dola 34.95 sawa na elfu 55 mia 9
Ugonjwa wa Ebola unasababishwa na Virusi vya Ebola na tayari umeshaua zaidi ya watu 4000.

Hii ni design za babu wa loliondo

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.