Saturday, October 18, 2014

T.I AJIKINGA NA EBOLA ETHIOPIA


Rapper Clifford hariss a.k.a T.I yupo njiani kuja nchini kwa ajili ya Tamasha la Serengeti fiesta litakalofanyika Leaders Club Leo, sasa wakati yupo njiani akitokea Marekani moja kati ya vituo ambavyo ndege yake imesimama ni pamoja na uwanja wa Ndege wa Ethiopia, sasa katika mojawapo ya picha zilizoonekana mtandaoni inamwonyesha msanii huyo akiwa amevaa mask nyeupe kuziba pua yake wakati akiwa uwanja wa ndege wa Adis ababa huku akikaguliwa na kitengo maalum cha ukaguzi wa Ugonjwa wa Ebola uwanjani hapo, bado haijafahamika vizuri kama nia T.I ni kujikinga na Ebola au anataka kuficha sura yake ili raia wasimshtukie.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.