Monday, December 8, 2014

PIGA CHABO: KILICHOSABABISHA MTV BASE KUISHOBOKEA VIDEO YA VANESA MDEE - "HAWAJUI"

Vanesa Mdee wiki iliyopita aliahidi kuwa ataachia Video ya Hawajui na ahadi yake imetimia leo kwa kuachia Video hii na kupigwa kwa mara ya kwanza na kituo kikubwa barani afrika MtV Base (Exclusive) hii ni mara ya kwanza kwa video ya Vanesa Mdee a.k.a V-Money kupigwa na kituo hiki licha ya kufanya kazi na kituo hiko kwa muda mrefu kama MTV VJ, akizungumzia hilo Vee Money anakiri video zake za awali hazikukidhi viwango vya MTV ndio sababu hazikuwahi kuchezwa, na wakati amamaliza kufanya video ya Hawajui akacheki na watu wa MTV wao ndio walioomba wairushe Exclusive ndani ya MTV.
Cheki Video hapo chini uone kilichosababisha MTV kuishobokea Hawajui, bila shaka Kiuno cha Vanesa Mdee kinachozungushwa kama panga boi ndio chanzo cha wazee kuona utamu pia.....ama?

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.