Friday, November 28, 2014

AY FT SEAN KING STONE NI COLLABO KUBWA KATI YA MSANII WA TANZANIA NA AMERICA


CEO wa unity entertainment Ambwene Yesaya wiki hii ameingia kwenye list ya wasanii wenye collabo kubwa na wasanii wakubwa duniani, baada ya kuachia collabo yake na Multi platnum artist sean kingston.

Na ngoma hiyo imefanywa na maproducer wenye uzoefu na kutengeneza ngoma za kina Beyonce na lady gaga
AY alifunguka kwamba ngoma imechelewa kutokana na vitu tofauti tofauti, ubize ukiwa mojawapo ya sababu, pia kuna time Sean alipata ajali na muda unakuwa umekimbia, pia alitaka atakapoachia ngoma na video iwe imekamilika na sasa video ishashootiwa na wiki ijayo itadondoka

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.