Hatimaye Video ya Akadumba ya Nay wa Mitego imetoka imepigwa karibu kabisa na mitaa ambayo msanii huyo amekulia Manzese, kama ilivyo Audio ya ngoma hii muonekana wa video umeenda sawa na wimbo,
maoni yangu mimi baada ya kuiangalia ni
"naona video nzury haichoshi story board kali na inanogeshwa na wezere za mama
na mtoto wake dah..ana stahili kumpagawisha muuza genge, dancerz nao
machalii wametishaaaa, Manzese Stand Up
Anko Nay wa Mitego naomba namba ya Video Queen, ikikosekana hata ya mama yake wa Video sio kesi"
hahahahahah natania tu........Kip it up Bruv "Nay wa Mitego"