Tuesday, December 30, 2014

YOU HEARD: PATCHO MWAMBA KUMPELEKA MAHAKAMANI ALIYEMZUSHIA KUFUMANIWA NA KUBAKWA

Msanii maarufu wa bendi na ambaye pia muigizaji wa bongo movie Patcho ametangaza kuwa ataenda sambamba na wote waliomzushia kufumaniwa na kuingiliwa kinyume na maumbile, kwa mujibu wa Patcho anadai uvumi huo umekuja baada ya yeye ku post picha ikimwonyesha akiwa amevimba uso kutokana na mzio ama alerg aliyoipata weekend hii baada ya kunywa Pombe tatizo ambalo amekua akilipata mara kwa mara kila anakunywa pombe au kukaa karibu na vitu vya plastiki, Patcho amesema anawajua wote waliozusha taarifa hizo mmoja wapo ni Seth "Bikira wa kisukuma"
sikiliza mahojiano ya Patcho aliyofanya na Gossip Cop Soudy Brown....

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.