Saturday, January 24, 2015

Baba la baba Adam Mchomvu ndani ya club bilicasnas January 25.

Kama uko Dar es salaam 88.5 ichukue hii mtu wangu wa nguvu na hakikisha tunakutana Club Billz Jumapili hii January 25 kumsuport mtu wetu Adam Mchomvu ambaye anazindua video yake mpya.
Hii ndion list ya wasanii watakao fanya show siku ya kesho kuna  Fid Q,Joh Makini,Mr. Blue,Nikki wa pili,Ben Pol,Young D,Shilole,Barakah Da Prince,Jay Moe,Belle Nine na wasanii wengi wakali.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.