Wakati Diamond amemaliza kufanya mazoezi kwenye ukumbi kunakofanyika show yenyewe alikutana na Peter wa P Square ambae ndio alianza kumtambua Diamond na kumchangamkia sana kama watu wanaofahamiana, walipopiga stori akamwambia Diamond kwamba ‘inabidi tufanye kazi’
Fally Ipupa na Diamond kwenye ukumbi kutakapotolewa tuzo hizo.