Tuesday, January 27, 2015

Drake bado anataka kurudiana na Rihanna

Mbali na Chris Brown kumaliza tofauti zao na Drake,ambapo chanzo kilikuwa ni mwana dada Rihanna,lakini kwa msanii Drake imekuwa tofauti mara baada ya kuonyesha hisia zake bado kwa mwana dada huyo Riahanna...
Vyanzo vya habari kwa rapper huyo kutoka Toronto zinesema kwamba Drake amesema ukaribu wake na Rihanna hauna sababu ya kutaka watu wajue kama nipo nae kimapenzi au la ila anauwezo wa kufanay mapinduzi tofauti na ilivyo nyuma.

Wakati Ririameachana na Chris ilisikika kuwa ana date na Decarpio lakini Drake hichi ndicho alicho jibu......
“I don’t think he like those new rumors that RiRi is dating DiCaprio so he is trying to reconnect with her but folks in their circle strongly believes that she has moved on and is not looking back,” the source added.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.