Tuesday, January 27, 2015

Amber Rose kutua nchini Nigeria kwaajili ya D'Banj

Mwana dada Amber Rose ambae kila kukicha anazidi ku make headlines kwenye vyombo vya habari imetoke habari mpya tena ambayo inamuhusu yeye na koko master a.k.a D'banj wa nchini Nigeria.
Katika social media na blogs za Nigeria zime post habari inayo muhusu mwana dada huyo ambae anataraji kuingia Lagos nchini Nigeria maalum kwaajili ya msanii koko master a.k.a D'banj.Ni nini kinacho mpeleka huko endelea kusoma hapa.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.