Monday, January 26, 2015

Kuhusu Msaada alioutoa Said Fela Jan 25 kwenda kwa timu hizi za watoto.

 Hii ni good news kwa wadogo zetu ambao wengi wao wanapenda mpira wa miguu lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao wamejikuta wanakosa baadhi ya vifaa muhimu vya michezo.
Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe Said Fela kwa kushirikiana na baadhi ya watu walio nje ya nchi wameamua kuanza kutoa misaada mbalimbali kwa timu za watoto ambazo hazina uwezo.
January 25 Said Fela ameanza kwa kutoa misaada hii kwa timu ya Kilungule Sports na Keko youth Centre,misaada hii ni Jersey ambazo ni bukta na fulana yake.


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.