Sunday, January 25, 2015

RAIS MPYA WA ZAMBIA AVAA SUTI ILIYOBUNIWA NA MTANZANIA

 
Mbunifu wa Mavazi wa kitanzania Sheria Ngowi amepata zali la kumshonea suti rais mpya wa Zambia Edgar Lungu ambaye jana kulikua na sherehe za kumwapisha, hii ina maanisha kuwa rais huyu ndio atakua Official Designer wa Rais huyu mpya, sanaa na kipaji cha mtanzania kinaonekana hadi nje ya mipaka ya Tanzania, Sheria ngowi alikuwepo zambia kushudia mteja wake huyu mpya akiapishwa.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.