Monday, January 12, 2015

Le Mutuz: Asante Lulu,Wewe Ndie Rafiki wa Kweli!

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka
“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz mazafantazzzz.....nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna hayapigi simu le mazafantazzz.....thank U Super Star Lulu you are a true friend sio le mburulazzzz yanajua kuulizia Party tu the brainlessss mazafantazzz hahahahahahah U know! - le Mutuz”
Kwa mujibu wa Le Mutuz, kwasasa mama yake yupo poa, na leo hii anarudu Dar kutokea Mbeya ambako alikwenda kumona mama yake.
Sasa wale mabebez wengine anaopigaganao mapicha watakuwa kwenye hali gani baada ya Le Mutuz kuwapa makavu.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.