Wednesday, January 21, 2015

YOU HEARD: VIDEO YA BELLE 9 "VITAMIN MUSIC" CHUPUCHUPU KUFUTWA

Hivi karibuni Belle 9 alihuzunika sana baada ya kuambiwa kuwa Video yake itafutwa iwapo hatolipa deni la shilingi laki tano, ikiwa ni gharama za kukodi vifaa vya kushoot video hiyo alivyokua amekodi katika Godown moja pande za Sinza, inadaiwa siku ya tukio Belle 9 na director wa Videos Halfani walifika kwenye Godown hilo kukodi vifaa na kuna baadhi ya Scene zilipigwa pale pale, inasemekana baadae wakaenda kwenye hospitali moja kumalizia scene nyingine pamoja na wasanii wengine kina Joh Makini, Joti na Young D na walipmaliza hiyo scene ilikua usiku so wakawa wanarudisha vifaa Sinza kufika kule wakakutana na mmiliki mwanadada mmoja anayetambulika kwa jina la Ester akachachamaa na kutaka apewe mtonyo wake la 5 la sivyo Camera ya Director haitoki eneo hilo na akatishia wakichelewa atafuta materials zote walizo shoot na Belle alishindwa kulipa mtonyo hapo hapo so wakakesha wakimsomesha mwanadada ikabidi waondoke hadi kesho yake na kumletea mtonyo nusu ndio wakarudishiwa camera yao.
Sikiliza You Heard hapo chini kama ilivyokua kwenye XXL leo ..

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.