Mtangazaji wa Radio wa kike anayedai kupewa ujauzito na Star wa Bongo flava "Mo Music" Joyce ametishia kuitoa mimba hiyo kutokana na maneno ya kumvunja moyo anayopewa na baadhi ya watu, mwanadada huyo haja ainisha ni maneno gani hayo anayo ambiwa ila tayari amewaambia watu wake wa karibu kuwa anachokiona kwa sasa hivi ni kama maji yamemfikia shingoni na uamuzi pekee anao uona ni bora eti kuitoa mimba hiyo nyenye zaidi ya miezi miwili, na ikumbukwa kuwa Mo Music amewahi kukanusha hadharani kuwa hausiki na ujauzito wa mwanadada huyo anayefahamika kwa jina na Joyce.
Bado hatuwezi kuthibitisha kauli ya mwanadada huyo kama ni kweli Mo Music anahusika na mimba yake mpaka atakapojifungua na wawili hao kwenda kufanya vipimo vya DNA kwa mkemia mkuu.
Gossip Cop Soudy Brown kupitia Segment ya You Heard (Clouds fm) alimtafuta Joyce na vilevile alimtafuta Daktari wa magonjwa ya Uzazi Dk Mwaka akafunguka madhara ya Utoaji mimba kwa undani na jinsi inavyoathiri Uwezo wa kuzaa kwa kina dada.
Sikiliza hapo chini: