'Queen Of Drama'-Wema Sepetu anatarajia kuizindua filamu yake aliyomshirikisha Muigizaji kutoka nchini Nigeria,Van Vicker inayofahamika kama 'Day After Death' siku ya Valentine Day.
Nawaona Team Wema nawaona....!!...mnakula tu Ubuyu..msikilizeni Madam sasa.
Showing posts with label Wema Sepetu. Show all posts
Showing posts with label Wema Sepetu. Show all posts
Wednesday, November 9, 2016
Friday, November 4, 2016
U HEARD:Munalove adaiwa kuiba nguo ya ndani ya Mama Wema na kuipeleka kwa Mganga.
Wednesday, October 12, 2016
Wema Sepetu Amshushua Shabiki Mtandaoni.
Alipotangaza kuivunja #TeamWema wengi waliichukulia kama masihara lakini kwa hiki alichokifanya mrembo Wema Sepetu ni dhahili malkia huyo wa movie za Bongo yuko serious.
Wema Sepetu amemchana shabiki aliepost picha yake (Wema) akiwa na Ex- wake Idris Sultan na kuipa caption "Mood"
ANGALIA HAPA ALICHOKIJIBU WEMA SEPETU:
Thursday, September 22, 2016
VIDEO:Diamond amrudisha Wema Sepetu kwa Idris Sultan kiaina.
Wakati kasheshe la kukutwa kwa hereni ya Mwanamke chumbani kwa Mama watoto wake Zari The Boss Lady likiendelea kufukuta,Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amepost video ya aliekua X-Girl wake Madam Wema Sepetu akiimba wimbo wake mpya "Salome" na kuandika ujumbe ambao baadhi ya mashabiki wanahisi Diamond anajaribu kulirudisha penzi kati ya Mshindi wa BBA-2015 Idirs Sultan na Wema Sepetu ambao mapenzi yao yanadaiwa kuyeyuka tangu mwanzoni mwa mwezi July Mwaka huu.
"Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini....??? Tisha sana #SALOME wake @idrissultan full Video link in my BIO and @rayvanny BIO☝.....Shukran sana".Ameandika Diamond.
A video posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on
Hizi ni baadhi ya coment za mashabiki;
- missjojo_tzDaaaaaah kumbe kila kitu kinawezekana wapi zar😂😂😂😂
- nemyomyWaooooooo
- nemyomySalomee katishaaa
- rahmay487@rizy_white
- zuwenalichika92@hafsuley ukuyeee mama umuone salome wa idriss
- mama_8324Jaman
- sweetyneyl_12Mambo gan hayo y kutoana mbio km tetemeko limefka n uku @angel_eyes3333 yan kumbe ndo kwanza tumeanza n kupatwa
- sariajoshameen God amefanya yake aisee sipend bifu za nyota wangu wa tz aisee I'm happy @wemasepetu Mungu akuongezee urembo mama uzid kuwa na moyo wa kufungua namna HIYO love u bure #madamu @diamondplatnumz ma main main bigup kwakushow love tena na huo ndio usimba simba nijasir pia ni muelewa salut nyingi nying #simbaaa#dangote #chibu #babatifaa #lovekwanzaTZkwanzamaendeleombelebifuiachechoonindiomahalapake
- sherryachiengHehe if he doesnt post u in public....zari's word
Wednesday, August 31, 2016
Povu La Wema Sepetu Kwa Followers Wake Instagram (Wakubwa Tu)
Mrembo asieisha kutengeneza vichwa vya habari kunako industry burudani ya Tanzania malkia Wema Sepetu amewatolea uvivu mashabiki maandazi wanaomfollow kwenye mtandao wa instagram kwa ajili ya kumporomoshea mitusi daily.
Picha linaanza Wema Sepetu aliweka post yake kwa raha zake mwenyewe, dakika chache baadae alijitokeza shabiki maandazi ambae aliacha bonge la tusi kwenye picha hiyo.
Kitendo cha shabiki huyo mmoja kuachia tusi lake ni kama aliita timu yake kwani ghafla liliibuka kundi la watu walioacha komenti nyingi chafu kwenye picha ya mrembo huyo.
Angalia Hapa.
Hapo ndipo mrembo Wema aliamua kujibishana na mashabiki zake hao ambao mwisho wa siku waliamua kukaa kimya baada ya kuona madame amegeuka Simba.
Picha linaanza Wema Sepetu aliweka post yake kwa raha zake mwenyewe, dakika chache baadae alijitokeza shabiki maandazi ambae aliacha bonge la tusi kwenye picha hiyo.
Kitendo cha shabiki huyo mmoja kuachia tusi lake ni kama aliita timu yake kwani ghafla liliibuka kundi la watu walioacha komenti nyingi chafu kwenye picha ya mrembo huyo.
Angalia Hapa.
Hapo ndipo mrembo Wema aliamua kujibishana na mashabiki zake hao ambao mwisho wa siku waliamua kukaa kimya baada ya kuona madame amegeuka Simba.
WEMA SEPETU AONGELEA KUHUSU KURUDIANA NA DIAMOND:
Tuesday, August 30, 2016
Mzee Majuto Na Wema Sepetu Hii Movie Iliishia Wapi?
| Mzee Majuto Na Wema Sepetu. |
![]() |
| Diamond Platnumz Na Mzee Majuto. |
Macho na masikio ya wapenzi wengi wa burudani yalielekezwa kwa mastaa hawa watatu huku kila mmoja akiwa na mtazamo wake jinsi movie hiyo ambavyo ingekua.
Mpaka sasa ni muda umepita na hatusikii chochote kuhusu hilo au ni tofauti zilijitokeza katikati ya zilipendwa hao ndio zilipeleke kuahirishwa kwa zoezi hilo?aele M
ANGALIA HII YA MZEE MAJUTO AKICHEZA KUNG-FU
Thursday, August 18, 2016
DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA BAADA YA UBUYU JUU YA KU #KWICHIKWICHI NA WEMA SEPETU
TAKRIBANI MWEZI MMOJA NA NUSU SASA KUMEKUWEPO NA UBUYU WA JUU YA KURUDISHWA KWA MAHUSIANO YA W NA D, WIKI ZA HIVI KARIBUNI UBUYU HUO UKAZIDI KUWA MTAMU KUTOKANA NA WAWILI HAO KUJA NA UTARATIBU WA KUPOSTIANA (MA MCM VEPEEE) KWENYE MITANDAO KIASI CHA KWAMBA HADI WANACHAMA WAANDAMIZI WA KAMBI ZAO NAO KUONEKANA WAKIWA PAMOJA
.
SHIRIKA LA WAMBEA DUNIANI LIKAINGIA MZIGONI NA KUMTAFUTA DIAMOND KUPITIA SIMU YAKE YA MKONONI, MAZUNGUMZO KATI YA D NA MWAKILISHI WA #SHILAWADU NDUGU SOUDYBROWN YALIKUA HIVI, NANUKUU
.
SOUDYBROWN: HALLO
.
DIAMOND: HALLO, NANI?
.
SOUDYBROWN: NDUGU YAKO HAPA GOSSIP COP
.
DIAMOND: OHOO KUMBE WE MBEAA, DAH😨😨... EHE KUNA NINI TENA HUKO MAANA NIPO MAZOEZINI (kauli ya Kujihami)
.
SOUDYBROWN: HAMNA KITU NIMEKUPIGIA KUKUSALIMIA TU 😁
.
DIAMOND: SIDHANI
.
SOUDYBROWN: KWENU MNA ASILI YA NDOA ZA MITALA?
.
DIAMOND: OFCOZ MBONA NINAO NDUGU WANA WAKE WAWILI WAWILI, MI SI MUISLAM RUKSA
.
SOUDYBROWN: HIVI KATI YA ZARI NA WEMA UNAMCHAGUA NANI?
.
DIAMOND: NAMCHAGUA NANI KI VIPI?
.
SOUDYBROWN: KWICHI KWICHI
.
DIAMOND: SOUDY NIPO MAZOEZINI, TUONGEE BAADAE
.
SOUDYBROWN: NASKIA WEMA ANAKUJAGA KUBINJUKA KWAKO CKU HIZI, CKU NYINGINE MADALE CKU NYINGINE PALE PALE WCB 🙈
.
DIAMOND: NANI AMEKUAMBIA? 😨
.
SOUDYBROWN: KATI YA ZARI NA WEMA UNAAAAA.... NANI?
.
DIAMOND: SORRY NTAKUCHEKI BAADAE KUNA MAZOEZI HUKU
.
AKA KATA SIMU FASTA
.
JAMANI YANI KASHINDWAJE KUJIBU KIJISWALI HIKI?
KUNAYO NAMNA 🙈🙈
.
Post kwa niaba ya Shirika la Wambea Duniani
.
Mi simoooooo
.
@Shilawadu #Hatushindwi
ANGALIA HAPA VIDEO MPYA YA SAMATA A- KODO
You Heard | Wema Sepetu Kuhusu Kurudiana Na Diamond, Bifu Na Zari Je?
Penzi la mwendokasi limeri-potiwa kuzinduliwa upya mara baada ya zilipendwa Sepenga na Mondi kuonekana kunyemeleana kiaina,
Sasa basi Gossip Cop +SOUDY BROWN ameona ubuyu usikupite amemvutia waya madame Wema Sepetu na alikuwa na haya ya kufunguka.
Bonyeza Hapa Kumsikiliza Wema Sepetu.
ANGALIA HAPA KICHUPA CHA SAMATA A - KODO
Sasa basi Gossip Cop +SOUDY BROWN ameona ubuyu usikupite amemvutia waya madame Wema Sepetu na alikuwa na haya ya kufunguka.
Bonyeza Hapa Kumsikiliza Wema Sepetu.
ANGALIA HAPA KICHUPA CHA SAMATA A - KODO
Subscribe to:
Posts (Atom)
Comments System
facebook









