Thursday, September 22, 2016

Ali Kiba,Diamond na Navy Kenzo watajwa kuwania tuzo za MTV-MAMA Awards.


This time around,Alikiba ametajwa kuwania kipengele cha Best Collaboration kupitia wimbo aliyoshirikishwa na kundi la  Sauti Sol kwenye wimbo unaofahamika kama "Unconditionally Bae" ambapo kundi hilo la Kenya  limetajwa kuwania  kipengele cha Best Group of the Year na Best Collaboration huku Uganda ikiwakilishwa na Eddy Kenzo  anayewania kipengele cha Best Live Act.

Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi ya tarehe 22 October, 2016 huko Johannesburg, Afrika Kusini na tukio hilo kuoneshwa moja kwa moja kupitia channel ya MTV Base.


Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Jumamosi ya tarehe 22 October, 2016 huko Johannesburg, Afrika Kusini na tukio hilo kuoneshwa live kupitia channel ya MTV Base.

 

Hii ni orodha kamili:
Best Live Act.

Stonebwoy (Ghana)
Cassper Nyovest (South Africa)
Mafikizolo (South Africa)
Mr Flavour (Nigeria)
Eddy Kenzo (Uganda)

Best POP/ ALtenative.
 
Tresor – Never let Me Go
Shekinah & Kyle Deutsch- Back to the Beach
Timo ODV- Find My Way
LCVL ft Sketchy Bongo- Cold Shoulder
Desmond  & The Tutus – Pretoria Girls

Personality of the Year.

Caster Semenya
Linda Ikeji
Pearl Thus
Wizkid
Pierre Emerick

Best Group.

Toofan (Togo)
Micasa (South Africa)
Navy Kenzo (Tanzania)
R2Bees (Ghana)
Sauti Sol (Kenya)

Best Male.

Black Coffee  (South Africa)
Diamond Platnumz (Tanzania)
AKA (South Africa)
Patoranking (Nigeria)
Wizkid (Nigeria)

Best Lusophone.

NGA
Nelson Freitas
C4 Pedro
Lizha James
Preto Show

Best International Act.

Beyonce
Drake
Adele
Future
Rihanna

Best Collaration.

AKA ft Yanga, Burna Boy, Khuli Chana -Baddest
Dj Maphorisa, ft Wizkid, Dj Buckz- Soweto Baby
Nasty C ft Davido, Cassper Nyovest – Juice Back Remix
Sauti Sol ft Alikiba – – Unconditionally Bae
Patoranking ft Sarkodie  -No Kissing

Best Hip Hop.

Emtee (South Africa)
Ricky Rick (South Africa)
YCEE (Nigeria)
Olamide (Nigeria)
Kiff No Beat (Ivory Coast)

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.