Monday, September 12, 2016

Manfongo Kuhusu Mipango Ya Video Yake Ya Kibaka

Baada ya kufanya vizuri na audio na video ya "Hainaga Ushemeji" mkali  Manfongo amefungukia mipango mipya ya video ya wimbo wake mpya "Kibaka"
 "Ilikua nisafiri nikafanye kichupa Afrika Kusini lakini kutokana na shows za fiesta kunizidia imebidi niahirishe lakini mipango iko poa muda wowote inaweza kutoka muda wowote.

 

MSIKILIZE HAPA: 





Mama WEMA Sepetu Adai Man Fongo Ni Mchafu Hajui Kuoga:


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.