Kelvin hart amezaliwa mwaka 1979
Diamond amezaliwa mwaka 1989 kwa hyo kuna tisa tisa
hapo
kevin hart anatokea philadelfia pennyslyvania uswaz
sehem ambako kunasifika kuwa na ma gang mengi ya uhalifu
diamond platnumz anatokea uswaz tandale sifa zake
zinafanana na alikotokea kevin hert
kevin hart amelelewa na mama yake kwa karibu,
diamond pia amelelewa na bi mdanga wake kwa karibu
sana bi sandra
kevin hart ktk hussle zake amewahi kuuza duka la
viatu
diamond pia ktk hussle zake alikua anauza mitumba ya
viatu
kevin hart amewahi kuzomewa mara kadhaa kwenye
majukwaa hadi kuna siku alirushiwa kipande cha kukuu, madharau
diamond amewahi kuzomewa jukwani akarushiwa mayai
viza maisha club
kevin hart ana watoto wawili
diamond ameshatangaza kuwa anatarajia mtoto wa kiume
kutoka kwa zari
kevin hart alianza kutoboa mainstream na comedy
mwaka 2009
diamond nae alitoka na kwamwambie mwaka 2008 2009