Huyu Hapa Anaetajwa Kulivuruga Penzi La Masogange.
Reginald Raymond maarufu Regythebest anaetamba na ngoma #KampaKampaTena aliyomshirikisha Kimbunga Mchawi, Hivi karibuni kumekua n ubayu unaomuhusisha Queen wa vichupa vya bongoflevani Agnes Masogange, Sasa unaambiwa kuwa mambo yamefika pabaya baada ya muigizaji Rammy Galls (ambae ni mpenzi wa Masogange) kuzikamata picha chafu za masogange akijiachia na mbongofleva Reggythebest Kama Unavyoweza kuziona hapa chini.
Masogange na Reggy.
Watu na Raha zao.
Ili kupata uhakika wa stori basi makorokocho.co imekuletea interview ya +SEE THE AFRICAN TV na RegytheBest Msikilize Mwenyewe Akieleza Ukweli Wa Picha Hizo. Baada ya kumsikia Reggy Iangalie Hapa Video Yake ft. Kimbunga Mchawi - Kampa Kampa Tena.