Sunday, September 4, 2016

NEW AUDIO:Nick Minaj,"Pinkprint Freestyle".

Baada ya kuwa kimya kwa muda sasa,huku sauti yake ikisikika kwenye colabo alizofanya na  DJ Khaled,DJ Mustard na  Ariana Grande,hatimae The rap Queen Nick Minaj amerudi baada ya kuachia ngoma hii aliyoipa jina “The Pinkprint Freestyle” akiwakumbusha mashabiki wake kuwa bado yeye ni Mmoja wa Malkia waliowahi kutokea kwenye himaya ya muziki wa Rap/Hiphop.
 Nick Minaj na Lil Wayne,rapper anaetajwa kugundua kipaji cha Nick Minaj japo kwa sasa Mkogwe huyo na Boss wa music label ya "Young Money" ametangaza yupo mbioni kustaafu muziki.


“Young ma is the female Jay,” .......“I’m a brand, according to what retail say / Yeah, my tours be selling out on pre-sale day / Plus, I got the TIDAL queen stream, press replay.”.Anasika Nick akirap........“Like I didn’t make all these bitches want a fat ass at some point,”.Anacheka kisha anaendelea...“Like I didn’t make all these bitches rock pink hair at some point.”.Hiyo ni sehemu fupi tu mashairi yaliyonogeshwa na mdundo mmoja matata sana.

Kwenye wimbo huu Nick Minaj pia amerap kuhusu Mungu akimsifu kwa mafanikio aliyonayo yeye na familia yake huku akimshukuru boss eake,rapper Lil Wayne aliegundua kipaji chake na kumsaini  "Young Money",music label iliyokua sehememu ya "Y.M.C.M.B"(Young Money Cash Money Brother) chini ya rapper Birdman aliejikuta kwenye mgogoro mkubwa wa kimaslahi na Wayne na kupelekea "Y.MC.M.B"  iliyokua ikiwasimamia wasanii kama Drake,Nick Minaj,Tyga na Jay Sean kuvunjika vipande huku hatma ya Wayne na "Young Money" ikisubiri uamuzi wa mahakama.

Kuisikiliza bofya hapaNick Minaj-Pinkprint Freestyle

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.